Exodus 29:45-46

45 aNdipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao. 46 bNao watajua kuwa Mimi Ndimi Bwana Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi Bwana Mungu wao.

Copyright information for SwhNEN